2 Kings 24:17

17 aAkamfanya Matania, ndugu wa baba yake Yehoyakini, kuwa mfalme mahali pake, na akalibadilisha jina lake kuwa Sedekia.

Sedekia Mfalme Wa Yuda

(2 Nyakati 36:11-12; Yeremia 52:1-3)

Copyright information for SwhKC